Biashara ya paka


Swali: Baadhi ya wanachuoni wanasema kuwa madhehebu mane yote yanajuzisha biashara ya kuuza paka na fatwa za wanachuoni wa sasa zinaharamisha hilo. Ni ipi sahihi katika masuala haya?

Jibu: Sahihi ni kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza biashara ya paka. Kwa hivyo haijuzu kuuza paka. Haijuzu kufanya hivo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (66) http://alfawzan.af.org.sa/node/16524
  • Imechapishwa: 13/08/2017