al-Fawzaan kuhusu aliyekufa katika maadamano


Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kufa katika maandamano dhidi ya mtawala wa Kiislamu?

Jibu: Amekosea na Allaah ndiye anajua zaidi. Hukumu yake iko kwa Allaah, lakini amekosea.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.ibnbaz.se/Artiklarna/1201-1300/034.html
  • Imechapishwa: 05/09/2020