Swali: Je, Zakaat-ul-Fitwr mtu anatoa ni chakula tu?
Jibu: Ndio. Chakula kinacholiwa katika mji. Chakula kilichozoeleka. Chakula chochote kinacholiwa katika mji.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (37) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-1-25.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket