Zakaah ya faida na kutawadha kwa maji ya moto

Swali 1: Baba yetu ameaga dunia mwaka 1 ½ na ameacha ardhi zinazorithiwa na warithi. Miezi sita baada ya kufa kwake warithi wakauza mirathi hiyo na wakaigawanya baina yao kwa kipindi cha miezi sita. Je, faida hiyo inapaswa kutolewa zakaah ilihali haijatimiza mwaka?

Swali 2: Je, ni bora kutawadha kwa maji ya baridi au kwa maji ya moto katika wakati wa majira ya baridi?

بسم الله الرحمن الرحيم

و عليكم السلام و رحمة الله و بركاته

Swali 1: Hakuna zakaah mnayotakiwa kutoa juu ya faida hiyo mpaka upite mwaka.

Swali 2: Bora ni kutawadha kwa maji ya moto.

Muhammad bin Swaalih al-´Uthaymiyn

1412-09-11

  • Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (18/21)
  • Imechapishwa: 14/05/2026