Zakaah kumvutia mtu kuingia katika Uislamu

Swali 328: Kutoa zakaah kwa ajili ya kumvutia mtu katika Uislamu ni jambo maalum kwa kiongozi tu au ni kwa kila mtu?

Jibu: Ni jambo lenye kuenea. Ni sawa ikiwa mtu atajua kuwa huyu anastahiki hilo na akamvutia ili kumsaidia kuingia kwake katika Uislamu au kumzuia madhara yake.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 117
  • Imechapishwa: 29/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´