Swali: Ni bora mja akiwa amesalimishwa na dhambi au bora ni pale anapofanya dhambi kisha akatubia na huku akiteseka kutokana na nafsi yake na kujitahidi sana kwa ajili ya Allaah?

Jibu: Yeyote ambaye Allaah amempa ustawi na usalama bila shaka ndiye bora zaidi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/29287/هل-العافية-من-الذنب-افضل-ام-جهاد-النفس
  • Imechapishwa: 31/05/2025