Swali: Ni ipi tofauti kati ya kulingania kwa Allaah na kuamrisha mema na kukataza maovu?

Jibu: Yote ni kulingania katika kheri. Kuamrisha mema na kukataza maovu ndani yake kuna kulazimisha. Ni jambo lina nguvu na lenye kuenea zaidi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21987/ما-الفرق-بين-الدعوة-والامر-بالمعروف
  • Imechapishwa: 08/10/2022