Kuandika barua na rekodi inasimama mahali pa nasaha

Swali: Kuhusu barua au kaseti inasimama mahali pa nasaha za moja kwa moja?

Jibu: Ndio. Allaah hunufaisha kupitia kanda nzuri. Ni katika kutoa nasaha pindi mtu ataieneza kwa watu kutoka kwa wanazuoni wazuri na wenye kuaminika.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21988/هل-يقوم-الكتيب-والشريط-مقام-النصيحة
  • Imechapishwa: 08/10/2022