Swali: Yule ambaye anawasifu Ahl-ul-Bid´ah na kuwatapa anakuwa ni katika wao?

Jibu: Ndio, pasi na shaka. Ambaye anawasifu na kuwatapa ni mlinganizi wao. Anaita kwao na huyu ni mmoja katika walinganizi wao.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fadhwl-il-Islaam, uk. 29
  • Imechapishwa: 30/08/2020