Swali: Niliapa kuwa sintofanya kitu na nilikuwa na hasira sana. Lakini baada ya kujirudi nikafanya kitu kile. Je, juu yangu nina kafara ya yamini?
Jibu: Ikiwa hasira zilikupita kiasi cha kwamba huelewi unachokisema, huna yamini kwa kuwa hukuwa na malengo. Hichi ni kiapo cha upuuzi. Ama ikiwa unaelewa unachokisema na unakusudia kile unachokisema, juu yako una kafara.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (50) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-6-10.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket