Haifai kuuliza juu ya kilichopotea ndani ya msikiti

Swali: Je, inajuzu kwa mtu kuuliza kitu chake kilichopotea msikitini akamuuliza imamu anapokuwa yuko katika Mihraab au aliye pembezoni mwake alipokaa au aache…

Jibu: Imamu, muadhini au mmoja katika waswalaji atapotoka aende kumuuliza nje ya msikiti. Haijuzu kuuliza ilihali yuko ndani ya msikiti, sawa ikiwa atauliza hilo hadharani au akamuuliza mtu binafsi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (49) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-6-3.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020