Muda [wa kupangusa juu ya soksi] ukiisha ilihali bado uko na twahara, wudhuu’ wako bado ukingaliki palepale. Wudhuu’ wako haukatiki. Lakini hata hivyo utapotaka kutawadha baada ya muda kumalizika, ni lazima uoshe miguu yako.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (01/113)
- Imechapishwa: 14/02/2023