Lililo la wajibu kwa muislamu ni yeye awachukie makafiri na atambue kuwa ni maadui zake. Haijalishi kitu vijimisaada watavyompa na mapenzi watayomuonyesha. Wao wanajikurubisha kwako kutokana na maslahi yao na ni kwa ajili vilevile wanataka kukudhuru. Lakini kusema ya kwamba wanajikurubisha kwako kwa ajili ya maslahi yako, hili ni jambo ambalo liko mbali kabisa. Ikiwa inawezekana kukusanya kati ya maji na moto, basi inawezekana vilevile kukusanya kati ya makafiri kutupenda na kutuchukia kwa sababu Allaah (Ta´ala) amewaita kuwa ni maadui. Amesema (Ta´ala):

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَتَّخِذُوا عَدُوِّي وَعَدُوَّكُمْ أَوْلِيَاءَ

“Enyi mlioamini! Msimchukue adui Wangu na adui wenu kuwa marafiki wandani.” (60:01)

 مَن كَانَ عَدُوًّا لِّلَّـهِ وَمَلَائِكَتِهِ وَرُسُلِهِ وَجِبْرِيلَ وَمِيكَالَ فَإِنَّ اللَّـهَ عَدُوٌّ لِّلْكَافِرِينَ

“Yeyote aliyekuwa adui wa Allaah na Malaika Wakena Mtume Wakena Jibriylna Miykaala, basi hakika Allaah ni adui kwa makafiri.” (02:98)

Kila kafiri ni adui wa Allaah. Kila kafiri ni adui yetu. Kila kafiri hadhaminiwi na sisi jengine isipokuwa shari.

Kwa ajili hii ndio maana ni wajibu kwako ndani ya moyo wako kumchukia kila kafiri. Haijalishi kitu aina yake. Haijalishi kitu ni kiasi gani anajikurubisha kwako. Tambua kuwa ni adui yako. Amesema (Ta´ala):

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَتَّخِذُوا عَدُوِّي وَعَدُوَّكُمْ أَوْلِيَاءَ

“Enyi mlioamini! Msimchukue adui Wangu na adui wenu kuwa marafiki wandani.”

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (01/115)
  • Imechapishwa: 14/02/2023