Swali: Ni yapi moani yako kwa mwenye kusimama kuswali Witr. Alipoanza kusoma al-Faatihah adhaana ya Fajr ikaadhiniwa. Je, Witr yake ni sahihi?

Jibu: Ndio, aikamilishe. Akamilishe Witr yake. Maadamu amekabiri kabla ya kuingia kwa Fajr na alfajiri imemwingilia hali ya kuwa yuko ndani ya swalah, akamilishe Witr yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (16) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-10-29.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020