Watumishi na wadada wa kazi wanaingia katika jumla ya wamilikiwa?

Swali: Je, watumishi wanaingia katika jina la wamilikiwa?

Jibu: Hapana, lakini kwa maana. Wanaambatana nao kwa maana, lakini si wamilikiwa, wamilikiwa ni mtumwa anayeimilikiwa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/28291/هل-يدخل-الخدم-في-مسمى-المملوك
  • Imechapishwa: 19/04/2025