Swali: Ni ipi hukumu kwa mwenye kuwapa udhuru washirikina ambao wanaishi kati ya waislamu na wanafanya shirki za wazi na wanasema “hawa ni waislamu wajinga”?
Jibu: Ni waislamu wajinga ilihali ni washirikina? Vipi watakuwa waislamu wajinga? Hawa ni makafiri washirikina. Sio wajinga. Wanasikia Qur-aan na wamejua kuja kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Sio wajinga. Ni wakaidi. Watu hawa ni wakaidi na sio wajinga.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (28) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-5-9.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket