Swali: Anakufuru mwenye kusema swalah zilizofaradhishwa kwa siku ni sita?
Jibu: Ndio. Akiamini hili ni kafiri kwa kuwa swalah ni tano tu. Kama ambavyo akisema swalah zilizofaradhishwa ni tatu… Kwa kuwa baadhi ya mapote yanasema kwamba kuna swalah tatu tu. Hii ni kufuru pia. Akipunguza au akizidisha huku ni kumkufuru Allaah (´Azza wa Jall).
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (28) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-5-9.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Swali: Anakufuru mwenye kusema swalah zilizofaradhishwa kwa siku ni sita?
Jibu: Ndio. Akiamini hili ni kafiri kwa kuwa swalah ni tano tu. Kama ambavyo akisema swalah zilizofaradhishwa ni tatu… Kwa kuwa baadhi ya mapote yanasema kwamba kuna swalah tatu tu. Hii ni kufuru pia. Akipunguza au akizidisha huku ni kumkufuru Allaah (´Azza wa Jall).
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (28) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-5-9.mp3
Imechapishwa: 19/08/2020
https://firqatunnajia.com/kupunguza-au-kuzidisha-swalah-tano-zilizofaradhishwa-kwa-siku/