Swali: Vipi kuhusu hatma ya watoto wa washirikina na watoto wa waislamu?

Jibu: Wana wa waumini wanawaandamana baba zao ndani ya Pepo. Watoto wa makafiri, ni kama alivosema Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

”Allaah anajua zaidi kile ambacho wangefanya.”

Watapewa mtihani siku ya Qiyaamah.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25097/حكم-الموتى-من-اطفال-المشركين-والمسلمين
  • Imechapishwa: 01/02/2025