Swali: Hadithi na taarifa ambazo zinasimuliwa kuhusu kuona kwa baadhi ya watu kitu katika neena?
Jibu: Hili hutokea, limetajwa na Ibn Rajab (Rahimahu Allaah) na wengine. Ibn Rajab amelitaja katika ”Ahwaal-ul-Qubuur”, al-Qurtwubiy katika ”at-Tadhkirah” na as-Safaariyniy katika ”al-Buhuur az-Zaakhirah” na wengine wametaja mambo mengi ya aina hii. Ibn Rajab ametaja mambo fulani ya aina hii katika ”Ahwaal-ul-Qubuur” na kwamba Allaah aliwaonyesha watu kile anachotaka. Alifanya hivo kwa ajili ya mawaidha na ukumbusho. Ni kama ambavyo Allaah alivyomuonyesha Mtume wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuhusu makaburi ya wale mabwana wawili pale aliposema:
“Hakika wawili hawa wanaadhibiwa, na hawaadhibiwi kwa jambo kubwa. Bila shaka, ni jambo kubwa. Ama mmoja wao alikuwa akieneza uvumi na mwingine alikuwa hajichungi na cheche za mkojo.”[1]
Hiki ni miongoni mwa mambo Aliyomuonyesha Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Kuna mengine mengi ambayo yamepokelewa kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
[1] al-Bukhaariy (218) na Muslim (292).
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25096/ما-صحة-الاخبار-في-روية-نعيم-القبر-او-اهواله
- Imechapishwa: 01/02/2025
Swali: Hadithi na taarifa ambazo zinasimuliwa kuhusu kuona kwa baadhi ya watu kitu katika neena?
Jibu: Hili hutokea, limetajwa na Ibn Rajab (Rahimahu Allaah) na wengine. Ibn Rajab amelitaja katika ”Ahwaal-ul-Qubuur”, al-Qurtwubiy katika ”at-Tadhkirah” na as-Safaariyniy katika ”al-Buhuur az-Zaakhirah” na wengine wametaja mambo mengi ya aina hii. Ibn Rajab ametaja mambo fulani ya aina hii katika ”Ahwaal-ul-Qubuur” na kwamba Allaah aliwaonyesha watu kile anachotaka. Alifanya hivo kwa ajili ya mawaidha na ukumbusho. Ni kama ambavyo Allaah alivyomuonyesha Mtume wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuhusu makaburi ya wale mabwana wawili pale aliposema:
“Hakika wawili hawa wanaadhibiwa, na hawaadhibiwi kwa jambo kubwa. Bila shaka, ni jambo kubwa. Ama mmoja wao alikuwa akieneza uvumi na mwingine alikuwa hajichungi na cheche za mkojo.”[1]
Hiki ni miongoni mwa mambo Aliyomuonyesha Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Kuna mengine mengi ambayo yamepokelewa kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
[1] al-Bukhaariy (218) na Muslim (292).
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25096/ما-صحة-الاخبار-في-روية-نعيم-القبر-او-اهواله
Imechapishwa: 01/02/2025
https://firqatunnajia.com/vipi-usahihi-wa-kuota-adhabu-na-neema-za-ndani-ya-kaburi/