Swali: Bid’ah ambazo zipo kwa majini wanazipokea kutoka kwa binadamu au kwao kuna wazushi ambao wanapeana wao kwa wao?
Jibu: Ambacho kinadhihiri – na Allaah ni Mwenye kujua zaidi – ni kwamba miongoni mwao kuna wanaopokea kutoka kwa binadamu na wengine wanapokea kutoka kwa majini wenzao, kwa sababu wao wana mawasiliano na wanadamu na wana ujuzi wa hali za binadamu. Wanajua kuhusu mikutano, husoma na hakuandika. Kwa hivyo hakuna kizuizi kwamba wanapokea kutoka kwa binadamu baadhi ya mema na mabaya na kutoka kwa baadhi yao kama wanavofanya kwa watu.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25091/حكم-امامة-من-لا-يرى-نقض-الوضوء-باكل-لحم-الجزور
- Imechapishwa: 01/02/2025
Swali: Bid’ah ambazo zipo kwa majini wanazipokea kutoka kwa binadamu au kwao kuna wazushi ambao wanapeana wao kwa wao?
Jibu: Ambacho kinadhihiri – na Allaah ni Mwenye kujua zaidi – ni kwamba miongoni mwao kuna wanaopokea kutoka kwa binadamu na wengine wanapokea kutoka kwa majini wenzao, kwa sababu wao wana mawasiliano na wanadamu na wana ujuzi wa hali za binadamu. Wanajua kuhusu mikutano, husoma na hakuandika. Kwa hivyo hakuna kizuizi kwamba wanapokea kutoka kwa binadamu baadhi ya mema na mabaya na kutoka kwa baadhi yao kama wanavofanya kwa watu.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25091/حكم-امامة-من-لا-يرى-نقض-الوضوء-باكل-لحم-الجزور
Imechapishwa: 01/02/2025
https://firqatunnajia.com/majini-wazushi/