Swali: Nini hukumu ya kile kinachofanywa na baadhi ya watu wanawaagiza baadhi ya watu [walete] nguo au kanzu. Watu hawa wanadai baada ya hapo wanajua ni magonjwa yepi na dawa ipi itayofaa.
Jibu: Ni haramu kwenda kwa wenye kudai kujua mambo yaliyofichikana. Haijuzu kuwapelekea nguo na kanzu wala kitu kingine. Ni haramu kuwasadikisha kwa wanayoyasema. Kuna Hadiyth Swahiyh zilizothibiti kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) zinazotolea dalili juu ya hilo.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/417)
- Imechapishwa: 24/08/2020
Swali: Nini hukumu ya kile kinachofanywa na baadhi ya watu wanawaagiza baadhi ya watu [walete] nguo au kanzu. Watu hawa wanadai baada ya hapo wanajua ni magonjwa yepi na dawa ipi itayofaa.
Jibu: Ni haramu kwenda kwa wenye kudai kujua mambo yaliyofichikana. Haijuzu kuwapelekea nguo na kanzu wala kitu kingine. Ni haramu kuwasadikisha kwa wanayoyasema. Kuna Hadiyth Swahiyh zilizothibiti kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) zinazotolea dalili juu ya hilo.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/417)
Imechapishwa: 24/08/2020
https://firqatunnajia.com/wasomaji-wenye-kumuagiza-mgonjwa-nguo/