Katika hali hii inajuzu kumwendea kuhani?

Swali: Kunaulizwa kuhusu kuwaendea makuhani na hukumu yake.

Jibu: Ni haramu kuwaendea makuhani kwa ajili ya matibabu na mfano wa hayo. Haijalishi kitu hata kama mtu ataamini kuwa dawa iko mikononi mwa Allaah na yale wanayofanya ni sababu tu.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/413)
  • Imechapishwa: 24/08/2020