Swali: Je, inajuzu kwa wanawake kuswali mbele ya safu ambayo imamu anaswali ikiwa msikiti umejaa na hawawezi kuswali sehemu ya wanawake, wanaswali nje ya msikiti na wakifanya hivyo itakuwa safu yao mbele ya imaamu.
Jibu: Hili ni kosa wala haifai. Ima wawe nyuma ya wanawake au waswali majumbani mwao. Pia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza na kwamba bora ya swalah ya mwanamke ni katika nyumba yake.
- Muhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://z-salafi.com/v2/action?s_menu=23&idFatwa=108
- Imechapishwa: 16/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket