Wanawake kupiga makofi katika mnasaba wa ndoa

Swali: Inafaa kwa wanawake kupiga makofi katika mnasaba wa ndoa na minasaba mingine?

Jibu: Sijafikiwa na kitu. Makusudio ni kutangaza ndoa. Kupiga makofi ni jambo la wanawake. Jambo ni sahali. Kupiga makofi ni kazi ya wanawake. Kutangaza ndoa ni jambo linalohitajika.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21696/حكم-تصفيق-النساء-في-مناسبات-الزواج
  • Imechapishwa: 17/09/2022