Swali: Mkojo na damu ya wanyamahoa ni najisi?

Jibu: Mkojo na kinyesi cha wanyama wanaoliwa ni msafi. Kuhusu damu hapana. Damu inayochirizika ni najisi. Lakini mkojo na kinyesi  wa mnyama anayeliwa, kama mfano wa ngamia, ng´ombe au kondoo – ni msafi.

Swali: Farasi?

Jibu: Na farasi pia. Mkojo wa farasi ni msafi kwa sababu farasi analiwa pia.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21699/حكم-دماء-وابوال-البهاىم
  • Imechapishwa: 17/09/2022