Swali: Je, kuna kitabu maalum katika kufasiri ndoto?

Jibu: Vipo baadhi ya vitabu. Mambo kama haya ya ndoto yanawastahikia wanazuoni na watu wenye utambuzi ambao wanazitambua Hadiyth na yale yanayofahamishwa na Qur-aan. Kufasiri ndoto inakuwa kwa mujibu wa elimu.

Swali: Wanavitegemea?

Jibu: Sio katika hali zote. Wanategemea ile elimu walionayo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23379/ما-الذي-يعتمد-عليه-في-تفسير-الروى
  • Imechapishwa: 06/01/2024