Swali: Mwenye kusema kuwa mwenye kufasiri ndoto bila ya elimu ni kama ambaye anajibu bila ya elimu na kwamba anapata dhambi?

Jibu: Haijuzu kufasiri ndogo pasi na elimu. Si fatwa wala ndoto. Haifai kwake kufanya kitu pasi na elimu na utambuzi kwa njia ya kwamba awe na utulivu juu ya jambo hilo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23378/حكم-تفسير-الرويا-بلا-علم
  • Imechapishwa: 06/01/2024