Swali: Je, kuna Hadiyth Swahiyh yenye manaa inayosema kuwa kila ambaye jina lake ni Muhammad hatoadhibiwa kwa ajili ya heshima ya jina hili na mwenye nalo?
Jibu: Huu ni ukhurafi. Jina halisaidii kitu. Kinachoangaliwa ni matendo na ufuataji. Hili ni kama mfano wa maneno ya al-Buuswayriy:
Mimi nina dhimma kwake kwa kuitwa Muhammad
Yeye ndiye kiumbe pekee awezae kunitimizia dhimma yangu
Huu ni ukhurafi na batili. Jina halitoshelezi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (46) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2152
- Imechapishwa: 06/09/2020
Swali: Je, kuna Hadiyth Swahiyh yenye manaa inayosema kuwa kila ambaye jina lake ni Muhammad hatoadhibiwa kwa ajili ya heshima ya jina hili na mwenye nalo?
Jibu: Huu ni ukhurafi. Jina halisaidii kitu. Kinachoangaliwa ni matendo na ufuataji. Hili ni kama mfano wa maneno ya al-Buuswayriy:
Mimi nina dhimma kwake kwa kuitwa Muhammad
Yeye ndiye kiumbe pekee awezae kunitimizia dhimma yangu
Huu ni ukhurafi na batili. Jina halitoshelezi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (46) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2152
Imechapishwa: 06/09/2020
https://firqatunnajia.com/wanaoitwa-muhammad-hawatoadhibiwa/