Swali: Kuomba du´aa kwa haki ya adhaana ni sahihi nikasema:
“Ee Allaah! Kwa haki ya adhaana niitikie”?
Jibu: Una dalili juu ya hili? Midhali hakuna dalili ya hili achana nalo. Kuomba kwa haki ya adhaana ni jambo ambalo halikuwekwa katika Shari´ah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (46) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2152
- Imechapishwa: 06/09/2020
Swali: Kuomba du´aa kwa haki ya adhaana ni sahihi nikasema:
“Ee Allaah! Kwa haki ya adhaana niitikie”?
Jibu: Una dalili juu ya hili? Midhali hakuna dalili ya hili achana nalo. Kuomba kwa haki ya adhaana ni jambo ambalo halikuwekwa katika Shari´ah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (46) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2152
Imechapishwa: 06/09/2020
https://firqatunnajia.com/kuomba-kwa-haki-ya-adhaana/