Swali: Baadhi ya watu wanapoombwa kuapa kwa Allaah wanaapa, hata hivyo wanaogopa pale wanapoombwa kuapa kwa walii au bwana fulani.
Jibu: Inategemea. Lakini hapana shaka yoyote ya kwamba nyoyo zao zinaugua shirki. Tunamuomba Allaah usalama. Kwa ajili hiyo wanawatukuza mawalii wao zaidi kuliko wanavyomtukuza Allaah. Haya yanatokea kwa wale makafiri na watenda madhambi. Tunamuomba Allaah usalama.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24170/حكم-تعظيم-الاولياء-في-الحلف-وخشيتهم
- Imechapishwa: 08/09/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)
Related
Malipo ya mwenye kuapa hali ya kuwa ni mwongo
Swali: Baadhi ya watu wanasema: “Mwenye kuapa kwa jina la Allaah hali ya kuwa ni mwongo Allaah atamkata mgongo wake.” Je, huku ni kwa minajili ya kumtia khofu? Jibu: Sijafikiwa na hilo. Maneno ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni: “Yule mwenye kukata haki ya mtu muislamu basi Allaah…
In "Madhambi na tawbah"

Kuapa kwa talaka si kama kuapa kwa asiyekuwa Allaah
https://www.youtube.com/watch?v=CeV6Yrj3kb8 Swali: Ni ipi hukumu kwa yule mwenye kuridhia kuapa kwa Talaka na wala haridhii kuapa kwa Allaah? Jibu: Kuapa kwa Talaka haina maana kama ya yamini, kuapa kwa asiyekuwa Allaah. Maana yake ingekuwa hii, mwenye kuapa angelikuwa ni mshirikina kama yule anayeapa kwa asiyekuwa Allaah. Imeitwa kuapa kwa kuwa…
In "´Allaamah Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan"
74. Sura ya kumi na moja: Kuapa kwa asiyekuwa Allaah
Kuapa ni kula yamini. Maana yake ni kutilia nguvu hukumu kwa kumtaja muadhimishwaji kwa njia maalum. Kuadhimishwa ni haki ya Allaah (Ta´ala). Kwa hivyo haijuzu kuapa kwa asiyekuwa Allaah. Wanachuoni wameafikiana juu ya kwamba haifai kuapa kwa asiyekuwa Allaah na majina na sifa Zake. Vilevile wameafikiana juu ya makatazo ya…
In "04. Mlango wa nne: Maneno na vitendo vinavyopingana na Tawhiyd na kuipunguza"