Swali: Una nasaha yoyote kwa waume juu ya kutangamana na wake zao vizuri. Kwa sababu wengi wao wanatangamana na wake zao kwa njia ya kuonelea kuwa ni mfanyakazi. Ni upi umuhimu wa mwanamke katika jamii ya Uislamu?
Jibu: Ndio, mwanamke ndiye anayelazimika kumhudumia mume katika mipaka inayojulikana. Amhudumie katika mipaka inayojulikana. Vilevile ni juu ya mume asimtie uzito kwa kitu asichokiweza. Allaah (Ta´ala) Amesema:
وَعَاشِرُوهُنَّ بِالْمَعْرُوفِ
“Na kaeni nao kwa wema.” (04:19)
Wanandoa wote wanatakiwa kusaidizana kwa wema. Hapo ndipo kutapatikana kuishi kwa uzuri.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (25) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-3-28.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Swali: Una nasaha yoyote kwa waume juu ya kutangamana na wake zao vizuri. Kwa sababu wengi wao wanatangamana na wake zao kwa njia ya kuonelea kuwa ni mfanyakazi. Ni upi umuhimu wa mwanamke katika jamii ya Uislamu?
Jibu: Ndio, mwanamke ndiye anayelazimika kumhudumia mume katika mipaka inayojulikana. Amhudumie katika mipaka inayojulikana. Vilevile ni juu ya mume asimtie uzito kwa kitu asichokiweza. Allaah (Ta´ala) Amesema:
وَعَاشِرُوهُنَّ بِالْمَعْرُوفِ
“Na kaeni nao kwa wema.” (04:19)
Wanandoa wote wanatakiwa kusaidizana kwa wema. Hapo ndipo kutapatikana kuishi kwa uzuri.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (25) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-3-28.mp3
Imechapishwa: 19/08/2020
https://firqatunnajia.com/wanandoa-wote-wanatakiwa-kusaidiana-katika-kuboresha-ujumba/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)