Wanafunzi wanaoeneza fatwa zisizotambulika

Swali:  Baadhi ya wanafunzi wanaeneza maoni ambayo hayakutangaa zinazohusiana na hukumu moja wapo ya Kishari´ah. Je, ni sahihi?

Jibu: Hapana, si sahihi. Watu kama hawa wanapata dhambi kubwa. Kwa sababu wanafuata fatwa zao na maneno yao. Mtu hatakiwi kuzungumza isipokuwa kwa elimu sahihi. Asiyekuwa na uwezo hatakiwi kuzungumza juu ya mambo ya kielimu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (87) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathoumaged05-03-1440h.mp3
  • Imechapishwa: 21/04/2019