Wakati na mahali hakuzibadilishi fatwa

Swali: Kunasemwa kwamba fatwa zinatofautiana kwa kutofautiana kwa wakati na mahali. Je, ni sahihi?

Jibu: Hapana. Fatwa hazitofautiani. Fatwa zimejengeka juu ya Qur-aan na Sunnah, katika kila wakati na mahali. Wakati na mahali hakuzibadilishi fatwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (87) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathoumaged05-03-1440h.mp3
  • Imechapishwa: 21/04/2019