Swali: al-Hajjaawiy mwenye kitabu “Zaad-ul-Mustaqniy´” kwenye mlango ´Baab-ul-Murtad` ya kwamba mwenye kupinga sifa miongoni mwa sifa za Allaah (Ta´ala) anakuwa kafiri. Je, Ash´ariyyah ni makafiri?
Jibu: Akipinga kwa ujuzi na kuamini ilihali anajua kuwa ni sifa ya Allaah na akawa sio mwenye kufuata kipofu wala mjinga, anakufuru. Hili linawahusu wanachuoni wao ambao wanajua kuthibiti kwa sifa na wanajua maana yake na hawamfuati kipofu yeyote. Bali wao wenyewe ndio wamekanusha hilo kwa kukusudia, watu sampuli hii wanakufuru. Ama mwenye kufuata kipofu na mjinga, huyu anatiwa upotevuni na hakufurishwi. Wengi wao huwa hivo. Wengi wao hufuata kichwa mchunga.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (23) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-3-14.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)