Wamezaa watoto baada ya kubainika kuwa mume alinyonya na mke

Swali: Mwanaume amemuoa mwanamke kisha wakapata kizazi na baadaye ikabaini kuwa walinyonya pamoja. Ni ipi hukumu ya watoto?

Jibu: Watoto ni wa mwanaume huyo na wao ni Mahram kwake. Baadaye ikibainika kuwa mke ni dada yake wa kunyonya au mama yake mdogo ni Mahram kwake. Watoto ni wake kutokana na shubuha.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23530/ما-حكم-اولاد-زوجين-تبين-ان-بينهما-رضاعا
  • Imechapishwa: 05/02/2024