Swali: Ni ipi hukumu ya baadhi ya walinganizi ambao wamekuwa ni wenye kujuzisha mchanganyiko, sherehe za kuzaliwa, wanawakemea watawala hadharani na wanasapoti maandamano kiasi cha kwamba baadhi ya vijana wenye msimamo wameathirika nao na wamekuwa ni wenye kuonekana wageni kati ya watu hawa kwa kufuata yale wasemayo wanachuoni wakubwa?

Jibu: Awe na subira juu ya ugeni na juu ya haki na wakati huohuo awabainishie watu makosa haya na atahadharishe nayo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14763
  • Imechapishwa: 21/06/2020