Swali: Tunaomba Shaykh atubainishie hukumu ya watoto kuangalia katuni?

Jibu: Watoto wasilelewe kwa kuangalia katuni; picha za viumbe wenye roho. Ni haramu kuwalea juu ya mambo haya. Kuna michezo mingine isiyokuwa na mapicha. Awanunulie michezo hii watoto wao michezo isiyokuwa na mapicha na awashughulishe nayo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14763
  • Imechapishwa: 21/06/2020