Walinganizi wa Bid´ah na wa upotevu ni makhalifa wa Shaytwaan. Wanachuoni ni warithi na makhalifah wa Mitume – Allaah akitaka. Walinganizi wa Bid´ah, batili, kufuru na upotevu ni makhalifa na wanajeshi wa Iblisi. Tahadharini mmoja katika yenu kuwa katika wanajeshi wa Shaytwaan na katika makhalifa wake.
- Muhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: adh-Dhariy´ah ilaa Bayaan Maqaasid Kitaab-ish-Sharï´ah (1/463)
- Imechapishwa: 20/05/2015
Walinganizi wa Bid´ah na wa upotevu ni makhalifa wa Shaytwaan. Wanachuoni ni warithi na makhalifah wa Mitume – Allaah akitaka. Walinganizi wa Bid´ah, batili, kufuru na upotevu ni makhalifa na wanajeshi wa Iblisi. Tahadharini mmoja katika yenu kuwa katika wanajeshi wa Shaytwaan na katika makhalifa wake.
Muhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: adh-Dhariy´ah ilaa Bayaan Maqaasid Kitaab-ish-Sharï´ah (1/463)
Imechapishwa: 20/05/2015
https://firqatunnajia.com/walinganizi-wa-bidah-ni-makhalifa-wa-shaytwaan/