Sampuli zote hizi: mwenye kusema kuwa Qur-aan imeumbwa, Qur-aan ni maneno ya Allaah na akanyamaza na kusimama [pasina kusema haikuumbwa], matamshi ya Qur-aan yameumbwa, Qur-aan ni hikaaya [maelezo] ya Maneno ya Allaah na mwenye kusema Qur-aan ni ibara ya Maneno ya Allaah, mtu huyu ni Jahmiyyah na vijukuu vyao. Hukumu yao inapaswa kuwasusa, wasisemezwe na mtu asiswali nyuma yao. Badala yake mtu atahadharishe nao. Hukumu yao ni Ahl-ul-Bid´ah. Matangamano haya hayawahusu watu hawa tu, bali Ahl-ul-Bid´ah wote wanatahadharishwa, wanasuswa na wanakatwa. Wanaporudi katika Bid´ah zao [baada ya kuziacha] wanashauriwa, wakikataa basi ni juu ya kiongozi kuwaua.

  • Mhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: adh-Dhariy´ah ilaa Bayaan Maqaasid Kitaab-ish-Sharï´ah (1/428-429)
  • Imechapishwa: 20/05/2015