Swali: Wale wanaowasema vibaya watawala juu ya minbari ni waasi au Khawaarij?
Jibu: Haijuzu. Haya ni madhehebu ya Khawaarij. Haijuzu kuwasema vibaya watawala wa Kiislamu hata kama wana wana mapungufu midhali hawajatoka katika Uislamu. Wasisemwe vibaya hadharani maadamu ni waislamu hata kama ni watenda dhambi, wajeuri na wanadhulumu. Ambaye ana kitu kizuri cha kusema na anaweza kunasihi anawanasihi kwa kuzungumza nao, kuwaandikia kwa kupitia wajumbe. Wasitukanwe hadharani. Haya ni madhehebu ya Khawaarij.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20%20-%204%20-%201%20-%201436.mp3
- Imechapishwa: 11/02/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)