Wakati wa ´Ishaa ndio amekumbuka kuwa hajaswali Fajr

Swali: Amepitiwa na usingizi kutokana na swalah ya ´Ishaa na hakuikumbuka isipokuwa wakati wa ´Ishaa?

Jibu: Ataiswali pale tu atapoikumbuka.

Swali: Airudie Dhuhr na ´Aswr?

Jibu: Hatorudia chochote. Ataiswali tu yenyewe pale tu atapoikumbuka.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23687/حكم-من-نام-عن-الفجر-ولم-يتذكر-حتى-العشاء
  • Imechapishwa: 04/04/2024