Swali: Ikiwa kuna mtu amelingania katika upotevu na kuueneza kisha akatubu kwa Allaah, anaadhibiwa kwa madhambi yenye kufanywa na wale waliomfuata?
Jibu: Ni lazima kwake kubainisha na kuweka wazi ya kuwa alikosea na ametubu kwa Allaah juu ya hili. Pengine Allaah akamsamehe. Ama akiwaacha wale waliomfuata na asiwabainishie, ataadhibiwa kwa madhambi yao.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (11) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–09041434.mp3
- Imechapishwa: 24/09/2020
Swali: Ikiwa kuna mtu amelingania katika upotevu na kuueneza kisha akatubu kwa Allaah, anaadhibiwa kwa madhambi yenye kufanywa na wale waliomfuata?
Jibu: Ni lazima kwake kubainisha na kuweka wazi ya kuwa alikosea na ametubu kwa Allaah juu ya hili. Pengine Allaah akamsamehe. Ama akiwaacha wale waliomfuata na asiwabainishie, ataadhibiwa kwa madhambi yao.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (11) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–09041434.mp3
Imechapishwa: 24/09/2020
https://firqatunnajia.com/wajibu-wa-mtu-wa-bidah-baada-ya-kutubu-kwa-uzushi-wake/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket