Swali: Tunasikia mara nyingi kuhusu wanachuoni wenye mwamko wa Kiislamu (الصحوة الإسلامية). Nini maana ya istilahi hii?

Jibu: Sijui lolote kuhusu mwamko. Hili ni neno jipya. Ina maana waislamu wameamka? Walikuwa wamelala hapo kabla? Ni istilahi mpya. Hatulitambui[1].

[1] Tazama 1344

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (19) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf%2030-7-1434_01.mp3
  • Imechapishwa: 24/06/2020