Swali: Qadariyyah ni waabudia moto wa ad-Dajjaal?
Jibu: Qadariyyah ni waabudia moto na wakanushaji wa makadirio. Waabudia moto wanaamini kuwepo kwa waumba wawili. Qadariyyah walipothibitisha kuwa mja ndiye anayejiumbia matendo yake mwenyewe ndipo wakafanana na waabudia moto. Wamefanya kuwepo muumba mwingine pamoja na Allaah na hivyo wakafanana na waabudia moto. Waabudia moto wanaona kuwepo waungu wawili; nuru na giza.
Swali: Imethibiti kuwa wao ndio wafuasi wa ad-Dajjaal?
Jibu: Hapana, wafuasi wa ad-Dajjaal ni mayahudi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22668/هل-القدرية-المجوس-هم-اهل-الدجال
- Imechapishwa: 15/07/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)