Kutonyanyua mikono kwa kuogopa kujionyesha kwa watu

Swali: Baadhi ya watu wakati wanapoomba du´aa wanaweka mikono kwenye magoti na hawainyanyui juu kwa sababu ya kuchelea kujionyesha. Je, ni sahihi?

Jibu: Bora ni kunyanyua mikono mahali pa kunyanyua mikono. Bora ni kunyanyua mikono mahali pa kunyanyua mikono na kwa ajili ya kumwigiliza Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Kama alivofanya (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) wakati wa kuomba kunyesha mvua.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22665/حكم-عدم-رفع-اليدين-في-الدعاء-مخافة-الرياء
  • Imechapishwa: 15/07/2023