Swali: Je, anazingatiwa mtu amefanya ghushi kama yeye ndiye sababu ya kuingiza dishi/king´amuzi nyumbani au mfanya kazi kafiri?
Jibu: Ndio. Ambaye anaingiza dishi kati ya wananchi wake au watu wa famili yake ni mwenye kuwaghushi. Ambaye anaruhusu mambo kama haya ya pumbao na maovu ni mwenye kuwafanyia ghushi. Na ambaye anawaamrisha kumtii Allaah na kuwaamrisha haki ni mwenye kuwatakia mema.
Swali: Mambo ni vivyo hivyo kuhusu kuwatumia wafanya kazi makafiri?
Jibu: Haijuzu kuwatumia wafanya kazi makafiri katika bara arabu.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22388/حكم-ادخال-الدش-الى-البيت-واستقدام-الكافر
- Imechapishwa: 11/03/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)