Swali: Inajuzu kwa wachumba kuulizana nasabu zao kabla ya ndoa?

Jibu: Ndio, hakuna ubaya kufanya hivo. Kila mmoja kujua nasabu ya mwenzie ni sawa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Furqaan (06) http://alfawzan.af.org.sa/node/2049
  • Imechapishwa: 12/12/2016