Swali: Je, leo kuna Jarh na Ta´diyl?
Jibu: Ndugu! Kipi chenye kuwashughulisha Jarh na Ta´diyl? Jishughulisheni na kutafuta elimu kwa sasa. Ndio mnaanza sasa. Hamjakuwa hata na msingi. Jishughulisheni na kutafuta elimu kidogo kidogo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13990
- Imechapishwa: 26/06/2020
Swali: Je, leo kuna Jarh na Ta´diyl?
Jibu: Ndugu! Kipi chenye kuwashughulisha Jarh na Ta´diyl? Jishughulisheni na kutafuta elimu kwa sasa. Ndio mnaanza sasa. Hamjakuwa hata na msingi. Jishughulisheni na kutafuta elimu kidogo kidogo.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13990
Imechapishwa: 26/06/2020
https://firqatunnajia.com/wachipukizi-wasijishughulishe-na-jarh-na-tadiyl/