Swali: Je, mkusanyiko, Jamaa´ah imeshurutishwa mtu aende msikitini? Mtu akiswali na mke wake nyumbani inazingatiwa kuwa ni mkusanyiko?
Jibu: Mwanaume na mwanamke haizingaitiwi kuwa ni mkusanyiko. Lakini hata hivyo inajuzu kwa mwanamke akamfuata mwanaume na akaswali nyuma yake. Lakini hata hivyo haizingatiwi. Mkusanyiko inatakiwa isiwe chini ya wanaume wawili na zaidi.
Aidha mkusanyiko unakuwa msikitini. Haiwi nyumbani isipokuwa kwa udhuru. Ikiwa una msikitini na kunaswaliwa mkusanyiko ni wajibu kwako kwenda na kuswali na mkusanyiko wa mskitini. Isipokuwa ikiwa kama una udhuru wa maradhi au khofu hapo unaweza kuswali nyumbani.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13990
- Imechapishwa: 27/06/2020
Swali: Je, mkusanyiko, Jamaa´ah imeshurutishwa mtu aende msikitini? Mtu akiswali na mke wake nyumbani inazingatiwa kuwa ni mkusanyiko?
Jibu: Mwanaume na mwanamke haizingaitiwi kuwa ni mkusanyiko. Lakini hata hivyo inajuzu kwa mwanamke akamfuata mwanaume na akaswali nyuma yake. Lakini hata hivyo haizingatiwi. Mkusanyiko inatakiwa isiwe chini ya wanaume wawili na zaidi.
Aidha mkusanyiko unakuwa msikitini. Haiwi nyumbani isipokuwa kwa udhuru. Ikiwa una msikitini na kunaswaliwa mkusanyiko ni wajibu kwako kwenda na kuswali na mkusanyiko wa mskitini. Isipokuwa ikiwa kama una udhuru wa maradhi au khofu hapo unaweza kuswali nyumbani.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13990
Imechapishwa: 27/06/2020
https://firqatunnajia.com/hakuna-mkusanyiko-wa-mwanamme-na-mwanamke/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)