Swali: Je, inafaa kuwafanya watumwa makafiri wa kiarabu?

Jibu: Inatakiwa kuhimiza kunyooka sawa na kuingia ndani ya Uislamu ili watu wasifanywe kuwa watumwa. Vinginevyo Maswahabah waliwafanya watumwa Banuu Haniyfah. Ni sawa. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alimwambia kijakazi wa ´Aaishah:

“Mwache huru! Kwani hakika ni miongoni mwa kizazi cha Ismaa´iyl.”

Hapana vibaya. Vilevile amesema tena (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“… ni kana kwamba ameacha huru watumwa wanne katika kizazi  cha Ismaa´iyl.”

Kwa hivyo waarabu wanafanywa watumwa kwa njia inayokubalika katika Shari´ah wakiwa ni makafiri.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23038/هل-يجوز-استرقاق-كفار-العرب
  • Imechapishwa: 29/10/2023